
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Bungu wakiwa katika ofisi za walimu
kuzungumzia mafanikio na changamoto mbalimbali kitaaluma katika shule hiyo.
Ofisi ya Walimu Shule ya Sekondari Bungu.
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Bungu iliyopo Korogwe Vijijini wamelalamikia kitendo cha baadhi ya walimu wao kucheza mchezo wa table tennis ofisini...