kama tulivyoyaona matokeo ya kidato ca nne ya mwaka jana yametolewa kwa muundo mwingnie yaan katika ''GPA fomat''.Hivyo basi wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi yametoa vigezo vya udahili kwa wanafunzi watao jiunga na kidato cha tano mwaka huu 2015 katika shule zote za kiserikali na zisizo za kiserikali.
//////JONEE HAPAA WARAKAAAAA////////
0 comments:
Post a Comment