Thursday, August 27, 2015

TOTAL TANZNAIA LIMITED NA SATF WATOA MSAADA WA MADAWATI 1000 KWA SHULE ZA TEMEKE

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Sadick Meck Sadick akimkabidhi madawati 1000 Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke. Madawati hayo ni msaada uliotolewa na kampuni ya mafuta ya TOTAL Tanzania Limited wakishirikiana na shirika la SATF(Social Action Trust Fund). Msaada huo uliratibiwa na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)
 Wanafunzi wa shule ya msingi Chamazi wakishangilia msaada wa madawati uliotolewa na Kamuni ya TOTAL Tanzania Limited na SATF. Katika picha, mkuu wa mkoa Sadick Meck Sadick (Katikati) akiwa amekaa na mkrugenzi mkuu wa kampuni ya TOTAL Tanzania Limited(Kushoto) na Muwakilishi wa SATF (Kulia) 

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, akiwa amekaa na Mkurugenzi mkuu wa TEA, na mkurugenzi mkuu wa TOTAL katika moja ya madawati ya msaada kutoka TOTAL Tanzania Limited na SATF.

0 comments:

Post a Comment