Thursday, August 27, 2015

BADO HALI INATISHA KWENYE ELIMU YA TAIFA LETU....HEBU JIONEE MAENDELEO YA ELIMU KWA UJUMLAAAAA...

         Watanzania kwa ujumla tunatakiwa tuingilie kati kuhusu hili swala la ELIMU .kwa njia yoyote ile ili kwamba TUIKOMBOE ELIMU yetu.LA sivyo serikali peke yao haiwezi kushughulika na hili swala.Na swala la kubadili mitahala na mfumo wa kuyapanga matokeo,sidhani kama njia sahihi kwa sababu mambo yanayofundshwa huwa hayabadiliki ila kikubwa kuwa makini na hawa wanafunzi..





0 comments:

Post a Comment