
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),leo Novemba 18,2014 walitembelea Hospitali ya Rufaa ya Temeke jijini Dar es Salaam,ambapo waliweza kutoa msaada wa vitu mbali mbali kwa watoto waliolazwa Hospitalini hapo pamoja na kukabidhi baadhi ya vifaa vya Usafi kwa Uongozi wa hospitali hiyo Mbali na kukabidhi vifaa hivyo,pia walijumuika pamoja na kujitolea kufanya...